Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS Dar es salaam Dr. Alex Lengeju akiwakaribisha rasmi wageni kwenye chumba cha Mikutano
Hapa wageni na baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Kijiji Dr Alex Lengeju
Wageni walipata fursa ya kuchat na watoto
Wageni wetu waliamua kujipima nguvu na timu ya watoto wa kijiji
Wazazi na wachezaji katika picha ya pamoja
People in action ........
Star of the day ......
Watoto wakipozi na Nyota wa mchezo (Big brother Ibra .....) wa mchezo huo
Children having some fun with one of superstar (Midfild John......) from SOS team
No comments:
Post a Comment