Monday 12 November 2012

Asante Tigo kwa vifaa vya shule......

 
 
Tunawashuru sana TIGO kwa vifaa vya shule walivyotuletea! tunatambua  na kuthamini mchango wao kwetu,  pia tunaahidi kuvitendea haki vifaa walivyotuletea

Jamii ya Waganda waishio Dar es salaam walipotembelea kijiji chetu ....

Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS   Dar es salaam  Dr. Alex Lengeju akiwakaribisha rasmi wageni kwenye chumba cha Mikutano