Mahitaji yetu

Nguo na Sare za shule
Tsh 15,000  kwa mwezi  x miezi 12 x idadi ya watoto 130
Jumla = 23,400,000
Tunahitaji Marafiki 10,000 wataochangia Tshs  2,340 kila mwezi
 
 
Gharama za Elimu
Tsh 150 ,000   kwa muhula x kwa mihula 3 x idadi ya watoto 130
Jumla = 58,500,000
Tunahitaji Marafiki 20,000 wataochangia Tshs 2,925 kila mwezi
 
 
Gharama za Matibabu
Tsh 50,400 kwa mwaka  x idadi ya watoto 130
Jumla = 6,552,000
Tunahitaji Marafiki 10,000 wataochangia Tshs  660 kila mwezi
 
 
Gharama za Chakula kwenye nyumba za SOS
Tsh. 30,000 kwa mwezi  kwa kila mtoto x miezi 12 x 130 idadi ya watoto
Jumla = 46,800,000
Tunahitaji Marafiki 20,000 wataochangia Tshs. 2,340 kila mwezi
 
 
Gharama za kusaidia watoto walioko majumbani (FSP)
Tsh. 20,000 kwa mwezi x miezi 12 x idadi ya watoto 200
Jumla  = 48,000,000
Tunahitaji Marafiki 20,000 wataochangia Tshs 2,400 kila mwezi
 
 
NB - Kila Rafiki atakuwa huru kutoa msaada wa aina yoyote kwa kundi lolote na atafanya maamuzi binafsi katika kutoa msaada huo, ni hiari yake kutoa hela na kitu halisi, kwa waliotayari pia kwa kutusaidia huduma za shule na huduma za matibabu wanaweza kutoa msaada huo moja kwa moja kwa watoa huduma wetu kama shule na ofisi za bima ya afya.
 
 
 
 
"Asanteni sana tunathamini mchango wenu"
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment