Friday 2 November 2012

Bunge la watoto





Watoto wana haki ya kujadili na kufanya maamuzi kwenye baadhi ya mambo yao. Hapa watoto  wa Kijiji cha SOS Dar es salaam wakiwa kwenye vikao vya Bunge la watoto wakijadili mambo mbalimbali yanayowahusu

No comments:

Post a Comment